Friday, March 30, 2012
Thursday, March 29, 2012
UKIMWITA JEMBE HAUJAKOSEA SANA.
![]() |
Eddo Bashir |
MWIMBAJI WETU
![]() |
Belle 9 |
Huyu ni msanii mojawapo ambaye kiukweli yupo vizuri kwa kazi zake za kimziki, wewe kama mdau au mpenzi wa kazi zake mwezeshe aweze kushinda katika kategori ya mwimbaji bora wa kiume na katika wimbo bora wa mwaka na wimbo wake wa Nilipe nisepe. nenda kapige kura at www. teentz.com Kili Music Award Voting Page.
Mwezeshe Belle 9 kwa kumpigia kura yako.
Wednesday, March 28, 2012
Tuesday, March 27, 2012
T.I AMPA MWANAE ZAWADI YA GARI
![]() |
Zonniques |
Hi ni Gari ambalo kapewa zawaidi motto wa Kike wa
T.I katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika siku chache zilizopita, na
katika sherehe hizo mototo huyo wa T.I alionekana kumkubali sana mototo wa P. Didy ambaye nae aliweza kuhudhuria katika
sherehe hiyo, ambapo ni pamoja na wasani kibao na familia zao waliweza kuhudhulia. Motto huyu wa T.I amsherekea sherehe hii ya kuzaliwa kwa kutimiza
miaka 16. Hii ni kutoka kwenye chanzo chetu cha habari.
Nyerere Speeches and Statements
Hii ni nyumba ya Makumbusho ya Mwalimu J.K Nyerere |
Wajibu wa Mfanyakazi
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano via Tanzania Mwalimu
Julius K. Nyerere kwenye Mkutano wa Kwanza wa
NUTA, Dar es Salaam, Julai 34, 1965.
Ndugu Mwenyekiti, Ndugu Wajumbe, na Waheshimiwa wageni wetu,
Leo ni aiku kubwa sana, na mkutano huu una kazi kubwa ya kufanya, Mkutano huu lazima ufikirie jinsi gani chama hiki cha NUTA kilivyochukua madaraka yake mapya kwa watenda kazi wa nchi hii, na jinsi gani watenda kazi nao, kwa kutumia NUTA, ivalivyotimiza wajibu wao kwa taifa letu.
Mkutano huu lazima ufikirie vile vile kazi za baadaye, na kuwafafanulia viongozi wa NUTA, wa TANU na wa Serikali mambo yaliyo muhimu kwa wana-chama wa NUTA. Na jambo lililo muhimu zaidi kwa mkutano huu ni mambo gani wanaehama wenyewe wa NUTA wako tayari kuya-timiza, kwa ajili ya kuendeleza uchumi na hali ya Tanzania kwa sababu ya wajibu huo mkubwa, ni haki kwamba mkutano huu umepata heshima ya kuhudhuriwa na wageni kutoka nchi nyingi.

Chadema wapamba Moto
Ndivyo ilivyo katika jimbo la Arumeru Mashariki, Chadema wazidi kuteka wananchi katika jimbo hilo.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki.
Monday, March 26, 2012
Sunday, March 25, 2012
Mbowe na Nassari walifika kwenye Uwanja wa Leganga wakiwa kwenye helikopta saa 8.45 na kulakiwa na viongozi walioongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe pamoja na wabunge kadhaa wa chama hicho.
Polisi pamoja na walinzi wa kikundi cha usalama cha Chadema, Red Brigade walipata wakati mgumu kuwadhibiti wafuasi waliokuwa wakitaka kusalimiana na viongozi hao walipowasili uwanjani hapo.
Hali hiyo pia iliwaathiri wapigapicha wa vyombo vya habari ambao walikwaruzana na polisi na walinzi
Saturday, March 24, 2012
Vijana na ujasiriamali.
Ni vyema sasa vijana kujitambua na kujihamasisha baina yetu na kujikita zaidi katika kuanzisha miladi mbalimbali ambayo itachangia kuinua vipato vyetu. japo kua ni vigumu sana kutambua ni nini twapasa kukifanya ambacho chaaweza kutusaidia kuweza kupata kipato kilicho sahihi. Ila jambo la msingi siku zote kwa vijana wenzangu tujenge moyo wa kujituma daima, hii naamini kabisa siku moja maisha kila kijana atafaidi matunda yake. JITUME ULE mwenzangu kijana.
Subscribe to:
Posts (Atom)