Kurasa

Saturday, March 24, 2012

Vijana na ujasiriamali.

            Ni vyema sasa vijana kujitambua na kujihamasisha baina yetu na kujikita zaidi katika kuanzisha miladi mbalimbali ambayo itachangia kuinua vipato vyetu. japo kua ni vigumu sana kutambua ni nini twapasa kukifanya ambacho chaaweza kutusaidia kuweza kupata kipato kilicho sahihi. Ila jambo la msingi siku zote kwa vijana wenzangu tujenge moyo wa kujituma daima, hii naamini kabisa siku moja maisha kila kijana atafaidi matunda yake. JITUME ULE mwenzangu kijana.

No comments:

Post a Comment