Mbowe
na Nassari walifika kwenye Uwanja wa Leganga wakiwa kwenye helikopta
saa 8.45 na kulakiwa na viongozi walioongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa
Chadema, Zitto Kabwe pamoja na wabunge kadhaa wa chama hicho.
Polisi
pamoja na walinzi wa kikundi cha usalama cha Chadema, Red Brigade
walipata wakati mgumu kuwadhibiti wafuasi waliokuwa wakitaka kusalimiana
na viongozi hao walipowasili uwanjani hapo.
Hali hiyo pia iliwaathiri wapigapicha wa vyombo vya habari ambao walikwaruzana na polisi na walinzi
No comments:
New comments are not allowed.