Ndivyo ilivyo katika jimbo la Arumeru Mashariki, Chadema wazidi kuteka wananchi katika jimbo hilo.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akihutubia mamia ya wananchi
katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki.
No comments:
Post a Comment