Kurasa

Thursday, March 29, 2012

UKIMWITA JEMBE HAUJAKOSEA SANA.


Eddo Bashir
.Presenter mwenye uwezo wa kutumia kipaji chake kiusahihi na kuweza kukonga watu wengi zaidi katika vipindi vyake. Kiukweli anaujuzi na achana na hilo anauwezo mkubwa wa kuteka  hisia za wasikilizaji wake.Huyu ni Mojawapo wa presenter ambao kiukweli leo napenda kuchapisha kua anauwezo wa kipekee kwa kiasi kikubwa sana.

No comments:

Post a Comment