Kurasa

Michezo

Afrika kusini yatangaza kikosi chake.
Wacheaji
Timu ya taifa ya Afrika kusini yatangaza kikosi ambacho kitaivaa timu ya Zambia katika mechi ya kilafiki.
Ambapo pambano hilo litachezwa tarehe 14 Novemba. Wachezaji kama Kagisho Dikgacoi na Dean Furman wanaocheza soka nchini Uingereza nao watakuwemo katika kikosi chenye wachezaji 24.
Mchezo huu utachezwa katika uwanja wa FNB mjini Johannesburg, hii yote ikiwa ni kujipima nguvu katuka kujiandaa na michuano ya kombe la Mataifa Afrika, mashindano yatayo fanyika Afrika Kusini 2013 Januari 9 mpaka tarehe 10 februari.