
GEORGE MWINUKA
Thursday, February 21, 2013
Monday, February 11, 2013
Papa Benedict XVI atangaza kujiuzuru.
Habari kutoka Vatican zinasema kuwa, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict XVI atajiuzulu wadhifa wake mwishoni mwa Februari mwaka huu.
Taarifa kutoka ofisi ya Papa imesema kuwa, hatua hiyo imetokana na kuendelea kudhoofika afya ya kiongozi huyo wa kidini. Papa Benedict XVI mwenye umri wa miaka 85 alichaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki Aprili 19 mwaka 2005 baada ya kufariki dunia Papa John Paul II.
Papa Benedict XVI anakuwa kiongozi wa pili wa kanisa katoliki kujiuzulu. Mwaka 1296, Celestine V alijiuzulu kutokana na sababu za kiafya.
Thursday, January 31, 2013
Sunday, December 2, 2012
Monday, November 5, 2012
Top 5 hotel kwa Uzuri duniani
1. The Hyatt Regency, The Churchill. (London)
5star
2.Jumeirah Essex House. (New York City)
5star
3. Le Chart Noir Disign Hotel.(Paris)
3star
4. Best Western Kampen Hotel.(Oslo)
4star
Kwa mara ya kwanza Somalia wapata waziri mwanamke.
Fauzia Haji ni miongoni mwa wanasiasa walioteuliwa katika baraza dogo la mawaziri ambapo ameonekana ni mwanamke wa kwanza kuteuliwa kushika nafasi hiyo ya uwaziri,ambapo ameteuliwa uwa waziri wa mambo ya nje. pia Bi Fauzia Yusufu Haji Adam yeye ni naibu waziri mkuu wa somalia.
Takribani miaka 42 Uchaguzi wa Rais Mohamud mwezi Sepetemba umeonekana uchaguzi pekee uliofanyika Kidemokrasia nchini somalia
Bill Clinton ampigia debe Obama
![]() |
Obama na Clinton |
Siku ya leo Barack Obama watamenyana vikali na mgombea mwenza wa kinyang'anyilo hicho cha Urausi mgombea wa chama cha Republican Mitt Romney.
![]() |
Romney na Obama |
Subscribe to:
Posts (Atom)