 |
Obama na Clinton |
Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton amemtetea vikali mgombea urais wa chama cha Democrats nchini Marekani Barack Obama.katika kongamano la chama hicho linalofanyika mjini Charlotte,North Carolina, Clinton anasema sera za kiuchumi za Obama zinnaweza kuinua uchumi wa Marekani uliokua umedorora. ambapo katika hotuba yake alimalizia kwa kumteua Obama kuwa ndiye atakaye inua uchumi wa Marekani.
Siku ya leo Barack Obama watamenyana vikali na mgombea mwenza wa kinyang'anyilo hicho cha Urausi mgombea wa chama cha Republican Mitt Romney.
 |
Romney na Obama |
No comments:
Post a Comment