Kurasa

Monday, November 5, 2012

Top 5 hotel kwa Uzuri duniani

5star





2.Jumeirah Essex House. (New York City)
5star




3star



4star


5. Hilton Miami Downtown ( Miami)

3star
Hilton Miami Downtown

Kwa mara ya kwanza Somalia wapata waziri mwanamke.


 Fauzia Haji ni miongoni mwa wanasiasa walioteuliwa katika baraza dogo la mawaziri ambapo ameonekana ni mwanamke wa kwanza kuteuliwa kushika nafasi hiyo ya uwaziri,ambapo ameteuliwa uwa waziri wa mambo ya nje. pia Bi Fauzia Yusufu Haji Adam yeye ni naibu waziri mkuu wa somalia.
Takribani miaka 42  Uchaguzi wa Rais Mohamud mwezi Sepetemba umeonekana uchaguzi pekee uliofanyika Kidemokrasia nchini somalia

Bill Clinton ampigia debe Obama

Obama na Clinton
Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton amemtetea vikali mgombea urais wa chama cha Democrats nchini Marekani Barack Obama.katika kongamano la chama hicho linalofanyika mjini Charlotte,North Carolina, Clinton anasema sera za kiuchumi za Obama zinnaweza kuinua uchumi wa Marekani uliokua umedorora. ambapo katika hotuba yake alimalizia kwa kumteua Obama kuwa ndiye atakaye inua uchumi wa Marekani.

Siku ya leo  Barack Obama watamenyana vikali na mgombea mwenza wa kinyang'anyilo hicho cha Urausi mgombea wa chama cha Republican Mitt Romney.
Romney na Obama