Kurasa

Friday, October 5, 2012

The Rick Ross ndani ya Bongo


Pande la mtu sasa yupo ndani ya Bongo ambaye amewasili jana mida ya saa 3 hivi Usiku
kwa taarifa zaidi usiache kutembelea kwenye blog hii.

Kwa wapenzi wa Chelsea wanahusika zaidi



Taarifa kutoka kwa Roberto Di Matteo ni kwamba mchezaji wake striker  Daniel Sturridge aliyekua 
 majeruhi tokea mwezi September 19 ambapo aliumia walipokua wakicheza na Juventus  ataonekana tena 
 Uwanjani baada ya mechi nne zijazo hii ni kutokana na hali yake kuendelea vizuri

Tuthamini utalii wa ndani kwa maendeleo ya Taifa letu




Isimilastone ageNi baadhi ya vivutio vilivypo mkoani Iringa hapa ni Isimilastone Age

Monday, October 1, 2012

Chuo chenye maazingira mazuri mkoani Iringa. Umebahatika kukiona?

Mazingira ya kuvutia

Majengo mazuri

Mazingira ya RUCO

Sehemu nzuri za kuedesha magari


Viumbe kama hawa wapo pia

Mimea kama hii inapatikana
Miongoni mwa chuo chenye mazingira mazuri ya kujifunzia huwezi kusahau mazingira haya ya Chuo Kikuu kishirki cha Mtakatifu Agustino, Chuo Kikuu cha Ruaha kinachopatikana mkoani Iringa sehemu yenye hali nzuri kwa kujisomea.

Kampuni ya Azam Marine yaingiza Meli mpya

Meli ikiwasili visiwani Zanziba



Mwonekano kwa nje

Parking ya Magari.
Meli hiyo inasemekana itafanya safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea visiwani Zanzibar na ina uwezo wa kubeba watu zaidi ya 1000 na magari 200 kwa mujibu wa msemaji wa kampuni hiyo ya Azam Marine, pia kwamba wameahidi kuwa watatoa huduma ya bei nafuu kwa wateja wao.