![]() |
Meli ikiwasili visiwani Zanziba |
![]() |
![]() |
Mwonekano kwa nje |
![]() |
Parking ya Magari. |
Meli hiyo inasemekana itafanya safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea visiwani Zanzibar na ina uwezo wa kubeba watu zaidi ya 1000 na magari 200 kwa mujibu wa msemaji wa kampuni hiyo ya Azam Marine, pia kwamba wameahidi kuwa watatoa huduma ya bei nafuu kwa wateja wao.
No comments:
Post a Comment