 |
Mr. Kanumba |
Nyimbo iliyoimbwa na Marehemu Kanumba inaitwa "NITAINUA MACHO YANGU
JUU"....Moja ya mistari kwenye hii nyimbo ni ""Kama leo nikifa kila mtu
atanisifu kwa lake ******* ,ata hao wanaonichukia watabeba jeneza langu
kwa nyimbo na sala za uzuni,Mwenzangu leo niko hai twachukiana sana ,
usoni wa cheka rohoni ni vita,Tusameane tuishi kwa upendo na
amani,Furaha yetu hadi mbinguni tuwe na furaha ya… 'sema na moyo wangu eee baba'
No comments:
Post a Comment